Fungua

/AVI-CENTER/post/104247: Kiswahili: WIY4Qpc25tsqm9Pgp3Ka3ZTH:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili

Mwenyekiti wa KIAVI Bw Gabriel S Ng'osha akiwa na timu ya mpira wa miguu ya KIAVI FC 1 pamoja na timu ya mpira wa miguu ya Kike ya KIAVI FC2 (KFC1 & KFC2) wakishangilia ushindi baada ya kuifunga timu ya KUKURUKA kwa goli 3-1. Timu hizi zote zinahusisha vijana walio chini ya miaka 18, na ziko chini ya KIAVI, Nia ni kunyanyua na kuendeleza  vipaji vya vijana wetu kuanzia umri mdogo,kwani vijana wengi wanavipaji ila  havijulikani wapi vitaenda.timu hizi zina jumla ya wachezaji 33.wasichana kwa wavulana.pia wapo waimbaji,wachoraji,wanariadha,wanavolleyball,netball n,k usikose matukio mengine ya mechi

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe