Ni kwa mara nyingine tena shirika la Elimu Asilia limeendelea na tafiti zake katika Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro kwa makabila ya Wandamba na Wambunga. – kikubwa kinachoangaliwa ni maadili katika makabila yote hayo tunayofanyia utafiti, – ili kuona je, hapo zamani mababu na bibi zetu waliishi vipi. – Hususan katika Ulinzi, Tambiko, Tiba, Vyakula, Ndoa, Jando na Unyago n.k. | It has once again developed an organization of Indigenous Education and its studies in Kilombero District in Morogoro Region Wandamba tribes and cyclone. – What it ignores is the large values in all ethnic groups that we studied, – to see how the past of our grandparents how they lived. – In particular the Defence, Ritual, Medicine, Food, marriage, initiation rites and masks etc. | Edit |