Fungua

/AUG/post/11241: Kiswahili

AsiliKiswahili
MATUNDA YA KUHUDHURIA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KIVITENDO NA KUTHUBUTU KUYAFANYIA KAZI MAFUNZO NA KUKUBALI KUELEKEZWA NA KUSIMAMIWA IPASAVYO – Katika eneo la Tegeta kuelekea Twiga cement karibu na kanisa la KKKT kuna mfugaji mzuri wa samaki Ndugu KIbona ambaye hivi majuzi amevuna mazao yake ya kwanza katika Bwawa lake ambalo ukiliona utapenda kufuga samaki.Katika kufanya zoezi la Monitoring and...(Bila tafsiri)Hariri