Base (Swahili) | English |
---|---|
Furaha ya Wanawake Wajasiriamali kwa Viziwi Tanzania (FUWAVITA) ni Asasi iliyosajiriwa na kutambulika Kisheria kwa Namba 17120 na inawajumbe 17. Asasi hii ilianzishwa kutokanana na Utafiti uliofanywa na Bi Aneth Gerana ambapo aliwezeshwa na Shirika la Maendeleo ya Walemavu (ADD) Kutafiti katika Asasi mbalimbali zinazowahusu Viziwi , na kugundua kuwa Asilimia 49‰ ya Wanawake Viziwi wamepatwa na Matukio ya Uzalilishwaji na Unyanyasaji wa kijinsia ikiwa ni pamoja nakukabiliwa na hali Ngumu ya Maisha kwani wengi wao wanafamilia ambazo zinawategemea hivyo ndio hukawa Mwanzo wa kuzaliwa kwa Chombo hiki cha kuwakomboa Wanawake Viziwi ili kutetea haki zao kupitia Ujasiriamali. Asasi ilianza shughuli zake mwaka 2008 lakini rasmi mwaka 2010 ilipopata usajili kamili Waanzilishi ni Kiziwi aliyehitimu Chuo Kikuu cha Dar es slaama ambaye ni wa kwanza kuweza kufika chuo kikuu Tanzania kwa kushirikiana na Wanzake waliomaliza katika Vyuo binafsi vya Ualimu ambao hawakufanikiwa kupata Ajira kutokana na Ukiziwi wao. Tanzania Bara kuna asasi nyingi za kiraia ambazo zimekuwa zinatetea wanawake Nchini lakini hakuna hata moja iliyosimama imara kusimamia na kutetea mwanamke Kiziwi |
Joy for Women Entrepreneurs Deaf in Tanzania (FUWAVITA) are organizations and recognized Legal iliyosajiriwa number 17120 and inawajumbe 17. This organization was founded kutokanana and Research conducted by Ms Aneth Gerana which was facilitated by the Agency for Development of Disabled (ADD) Explore the various organizations regarding the Deaf, and found that 49 percent ‰ Deaf Women have suffered Uzalilishwaji Events and sexual abuse, including nakukabiliwa and harsh living conditions since most of them are families that zinawategemea so are you expecting the beginning of the birth of This tool redeem Deaf Women to defend their rights through Entrepreneurship. Organization started its activities in 2008, but in 2010 it gained official registration is complete Founders Deaf who graduated the University of Dar es slaama being the first to reach the university Tanzania in collaboration with the university leavers Wanzake private teacher training who were not able to find employment due to their Ukiziwi. Mainland Tanzania is the civil society organizations that have been zinatetea In women but no one stood firm to manage and advocate for Deaf woman |
Translation History
|