LENGO: – Kutoa nafasi kwa wanawake viziwi kuwa na mikakati ya kujikomboa kutokana na hali ngumu ya maisha, FUWAVITA inajukumu la kuwawezesha kupata nafasi ya kushiriki katika nyanja mbalimbali hususani ujasiriamali na mahitaji mengine muhimu na pia kuielimisha jamii kuelewa changamoto zao na vipao mbele. | (Not translated) | Hindura |