Base (Swahili) | English |
---|---|
LENGO: Kutoa nafasi kwa wanawake viziwi kuwa na mikakati ya kujikomboa kutokana na hali ngumu ya maisha, FUWAVITA inajukumu la kuwawezesha kupata nafasi ya kushiriki katika nyanja mbalimbali hususani ujasiriamali na mahitaji mengine muhimu na pia kuielimisha jamii kuelewa changamoto zao na vipao mbele. |
GOAL: Provide opportunities for deaf women have strategies to liberate from the harsh living conditions, to enable FUWAVITA determines the chance to engage in various fields particularly entrepreneurial and other basic needs and also educate understand their challenges and priorities. |
Translation History
|