Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/CWCD/post/3033
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Juhudi zenu zinanivutia sana, nawaomba tufanye kazi kwa ubia.
(Bila tafsiri)
Hariri
asante sana tunashukuru kwa maoni yenu.
(Bila tafsiri)
Hariri
ila kuna mfanyakazi nilizungumza nae kutoka kwenu amefanya hapo miaka 6 na akanielezea namna mnavyowalipa niliuzunika saana maana mnakata mishahara ya wafanyakazi na pia mnakataa wakilipwa kwenye acount kwa kisingizo hawataki ili muweze kuwakata nitafuatilia ilo swala kwa Mh. Rais maana mnawanyonya mnampa mtu anaelipwa laki 6 shilng laki moja. dah
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Pupils at Naitolia Primary School, you can see how situation is as the class doesnt have even a concrete floor...its amaizing!
(image) – Wanafunzi katika Shule ya Msingi Naitolia, unaweza kuona jinsi hali ni kama darasa hana hata sakafu ... amaizing yake!
Hariri