About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/CWCD/post/3033
: English
Base
English
Juhudi zenu zinanivutia sana, nawaomba tufanye kazi kwa ubia.
Your efforts very zinanivutia, I request that we work in partnership.
Edit
asante sana tunashukuru kwa maoni yenu.
thank you very much we appreciate your comments.
Edit
ila kuna mfanyakazi nilizungumza nae kutoka kwenu amefanya hapo miaka 6 na akanielezea namna mnavyowalipa niliuzunika saana maana mnakata mishahara ya wafanyakazi na pia mnakataa wakilipwa kwenye acount kwa kisingizo hawataki ili muweze kuwakata nitafuatilia ilo swala kwa Mh. Rais maana mnawanyonya mnampa mtu anaelipwa laki 6 shilng laki moja. dah
(Not translated)
Edit
(image) – Pupils at Naitolia Primary School, you can see how situation is as the class doesnt have even a concrete floor...its amaizing!
(Not translated)
Edit