Viongozi wa serikali wanajukumu kubwa la kuwahamasisha wananchi kuchangia maendeleo yao,Miongoni mwa viongozi hao ni Mhe.Mbunge wa Bagamoyo Dk Shukuru Kawambwa ambaye ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi stadi amekuwa mstari wa mbele katika kukakikisha maendeleo yanapatikana katika jamii. | Government official role to motivate the public to contribute to their development, they are among the leaders of Bagamoyo Mhe.Mbunge Dr Shukuru Kawambwa who is Minister of Education and vocational training has been at the forefront in the development kukakikisha available in the community. | Edit |