Fungua

/CHAMAKIVU/post/110332: Kiswahili: WIKM21pqxGB0HUdWS5AOdhi1:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili ((unknown language)) Kiswahili
  •  Halmashauri za Wilaya ziweke bajeti kwa ajili ya mafunzo kwa watendaji Kata,Vijiji, na Halmashauri za Vijiji/Kamati za Vijiji
  •  Kuwepo na mafunzo ya mara kwa mara kwa watendaji na wenyekiti wa Vijiji/Vitongoji
  • Viongozi wa Vijiji/Vitongoji wawe na dhana yakujitolea katika kujifunza na utafutaji wa taarifa mbalimbali, kuliko hali ya sasa ya kutanguliza posho zaidi kuliko kujifunza.

 

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe