Chama cha michezo cha viziwi -Tanga kilianzishwa mwaka 2009 kwa juhudi za viziwi wenyewe baada ya kututoshirikishwa kikamilifu na kutokuwa na chombo cha kuwatetea na kudai haki zao katika sekta ya michezo mbalimbali mkoani Tanga.kwa muda mrefu mkoa wa Tanga umekuwa na wanamichezo viziwi ambao walikuwa katika vilabu mbalimbali lakini uwepo wao na ushiriki wao katika vilabu hivyo ulikuwa haupewi kipaumbele kutokana na wahusika katika vilabu hivyo kutowapa nafasi ya kuonyesha vipaji vyao hivo... | (Not translated) | Hindura |