Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/EMNet/post/82494
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Mtandao wa wanahabari wa Mazingira unaojulikana kwa jina la Environment Media Network-EMNet,unashiriki katika utekelezaji wa mradi wa Hifadhi Mapafu ya Dar es salaam(HIMADA). – Mradi huu unaratibiwa na chama cha Uhifadhi Maliasili Tanzania kwa lugha ya kigeni chama hiko kinajulikana kwa jina la Wildlife Conservation society of Tanzania (WCST) Chini ya ufadhiri wa ubalozi wa Norway hapa nchini. – Pamoja na mradi huu wa HIMADA kuratibiwa na WCST pia katika...
(Bila tafsiri)
Hariri