(document) UTANGULIZI – Katika mwezi wa kwanza hadi mwezi wa tatu mwaka 2014 Asasi ya jinsia na maendeleo rombo imeweza kuendesha mafunzo ya wanawake na uongozi mradi ambao umefadhiliwa na The foundation for civil society. – Kutokana na uendeshaji wa mafunzo haya yameweza kuleta mabadiliko makubwa kwa wanawake katika nyanja ya uongozi ambao umewawezesha kufanya utetezi ambao umegawanyika katika sehemu kuu zifuatazo:- ... | (Not translated) | Edit |