Envaya

/AJIMARO: English: WIhF9djNhJaQyXH87NAyJjRP:content

Base ((unknown language)) English
  1. Kuunganisha wazazi katika kampeni ya kutokomeza UKIMWI
  2. Kutoa elimu ya UKIMWI katika jamii ya Rombo hususani wanawake
  3. kutoa elimu ya jinsia katika jamii
  4. kutoa elimu ya uraia hususani wanawake
  5. kusaidia makundi ya wasiojiweza kujikwamua kutoka  kwenye utegemezi makundi hayo yatima,wajane,watoto walio katika mazingira magumu,walemavu na watu wanaoishi na virusi vya ukimwi 
  6. Kutoa elimu ya mazingira kwenye jamii na kujiusisha na kampeni ya kupiga vita uharibifu wa mazingira kwa kuotesha miti na uhifadhi wa vyanzo vya maji
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register