Blue Star Media – Blue Star Media ni Asasi isiyo ya Kiserikali iliyoanzishwa mwaka 2016 ambayo inajishughulisha na masuala ya uandaaji Sinema (Movie) pamoja na video mbalimbali. Pia inajishughulisha na masuala ya kutoa mafunzo kwa wasanii mbalimbali ambao kwa namna moja au nyingine badi wanahitaji kuongezewa taaluma hiyo ya sanaa. – Katika kukuza vipaji, Asasi hii ina uwezo wa kutoa mafunzo kwa watoto wadogo ambao mara... | (Not translated) | Hindura |