Fungua

/CDDF: Kiswahili: WIxP7BRRyocVUtcDg08bTloM:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili

CDDF Tanzania (Cooperation,Development and Deliverance Foundation)  ni shirika la USHIRIKIANO,UKOMBOZI NA MAENDELEO nchini Tanznia.

COOPERATION:Tunashauri,tunahamasisha,tunaanzisha na kusimamia shughuri za         pamoja za kijamii zenye kuleta mabadiliko na maendeleo kwa ujumla.

DEVELOPMENT:Tunatoa elimu na kuanzisha miradi ya kupambana na umasikini.

DELIVERANCE:Tunashirikiana na jamii katika kujikomboa kwenye majanga mbalimbali yanayomkumba mtanzania wa hali ya chini.

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe