Fungua

/DATA/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
Development Association for Tanzanians inataraji kushiriki katika ulingo wa maendeleo mkoani Pwani utakaofanyika tarehe 5/05/2010. Mada kuu ya ulingo huo ni KUJADILI RASIMU YA MKUKUTA II(Bila tafsiri)Hariri
Development Association for Tanzanians inataraji kuzindua rasmi ofisi yake mpya ya Kanda ya Pwani itakayokuwa Mkuranga. Uzinduzi huo unatarajia kufanyika mapema mwezi June.(Bila tafsiri)Hariri