Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/awogro/post/21197
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Awogro imehamasisha akina mama na kijana kuunda kikundi cha Weka Akiba Boresha Maisha. Wako 30. Hununua hisa baada ya mwezi hukopeshana kwa riba nafuu. Hisa ulizonunua hupata mkopo mara 3 ya kiasi cha hisa ulizonunua. Imeanza Ogast 2011.
(Bila tafsiri)
Hariri
Ahano imeamasiha vikundi kuweka akiba zao benki na kujiunga na Mikindani Women Saccos Mtwara Manispaa.
(Bila tafsiri)
Hariri