Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/asgohes/history
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
ASGOHES - Tanzania ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 2006 na hatimaye kusajiliwa rasmi November 2007 kwa namba 00NGO/0188. – ASGOHES - Tanzania ilianza mara baada ya kuona matatizo mbalimbali kwa wazee haswa umasikini na kwa kuzingatia mambo makuu muhimu yafuatayo ndiyo yaliyochochea kuanzishwa kwake ambayo ni; – i. Wazee ni moja ya makundi yaliyo hatari kusahaulika kabisa na jamii. – ii. Wazee ni kundi la watu masikini na wasio na sauti katika haki zao....
(Bila tafsiri)
Hariri