MIRADI ILIYOTEKELEZWA NA ASGOHES – 1. Mradi wa kuibua changamoto zinazowakabili wazee katika wilaya ya Muheza(Sensitization creation) 2006-2008. – Mradi huu ulitekelezwa katika wilaya ya Muheza ukizijumlisha kata za Mbaramo, Magila na Masuguru, ambapo katika vijiji vya Majembe, Mafleta,Mbaramo na Estate; jamii ilipewa elimu kupitia sanaa; mikutano na makongamano ambapo katika makongamano vijana na wazee walipata fursa ya kujadili changamoto... | (Not translated) | Hindura |