HISTORIA YA ASASI YA UKOMBOZI WA VIJANA TANZANIA – (AUVITA) – Shirika hili limezishwa kutokana na ushiriki wa shughuli mbalimbali za Uhifadhi wa mazingira katika Chuo Kikuu Cha Stella Maris Mtwara (STEMMUCO) tangu mwaka 2011 chini ya klabu ya MALIHAI. Kutokana na shughuli hizo ndugu Simba Mramba alizua wazo la kuanzisha Klabu ya TAKUKURU ili kupata na kusambaza elimu ya Utawala bora... | (Bila tafsiri) | Hariri |