(image) – Ndugu Simba Mramba . – Mwanzilishi wa Asasi ya Ukombozi wa Vijana Tanzania (AUVITA) na ndiye mwenyekiti wa sasasi hiyo. Anawakaribisha vijana katika ukombozi mpya. Sikuzote huamini kuwa hamuna lisilowezekana Duniani na maisha ya mtu hupangwa na mtu mwenyewe, kwa ushirikiano na vijana kwa kuwapatia elimu mbalimbali maisha ya vijana yatabadilika na kuondokana na tatizo la ukosefu wa ajira. – Anasema kuwa. – Ni dhahili... | (Bila tafsiri) | Hariri |