Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/freddy/post/4
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
viruri sana
(Bila tafsiri)
Hariri
shirika limeandika mradi wa PETS katika kata za bungu kolelo na kasanga ndani ya tarafa ya mvua wilaya ya morogoro vijijini – shirika la viyoso limeendesha mafunzo kwa vijana ndani ya manispaa na kuwajengea uwezo vijana wa kujitambua na kutambua fulsa zilizopo hili wajiletee maendeleo – shirika la viyoso limetoa michango ya ada kwa wanafunzi wanaoishi katika mazingira magumu ndani ya kata ya uwanja wa taifa - morogoro manispaa. – shirika la viyoso...
(Bila tafsiri)
Hariri