AMANI THE FOUNDATION OF LIFE(AFL) Tunaendesha mikutanoya hadhara katika Wilaya za Kyela – Rungwe na Mbeya Mjini yenye lengo la kuhamasisha Vijana kuijua na kuitekeleza sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana nchini. | PEACE THE FOUNDATION OF LIFE (AFL) conducts other public mikutanoya in Kyela District – Rungwe and Mbeya Urban aimed at encouraging youngsters to know and implement the policies of the National Youth Development in the country. | Edit |