Base (Swahili) | English |
---|---|
Wanakikundi wa kikundi cha kuweka na kukopa cha huko Mriti wakiwa wamekusanyika katika siku yao ya kuweka na kukopa,nakupeana mawaiza na mbinu zingine za kweza kuendeleza kikundi chao ili kuweza kukabiliana na ugumu wa maisha. |
Members of the group of savings and credit in the rite as they gathered in their day to savings and credit, nakupeana mawaiza and other methods able to develop their group in order to cope with hardship. |
Translation History
|