Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Mkurugenzi mtendiji wa shirika lisilokuwa la kiserikali la Mzeituni Foundatio Bw.Meshack Masanja akifanya mahojiano na dakitari wa kituo cha afya cha Igalukilo juu ya hali yaupatikanaji wa huduma ya afya hususa ni kwa akinamama,mama wajawazito na watoto katika kituo chake tarehe 7/4/2011 |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe