Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Hawa ni baadhi ya wazee ktk moja ya Clubs wilayani Magu wazee hawa wamekuwa wabunifu na wamekuwa wakitafuta namna ya kujiwezesha wao binafsi kupitia utengenezaji wa bidhaa mbalimbali kama unavyoweza kuona,ili kujiongezea vipato na kupunguza utegemezi.Kama wazee wanaamua kufikiria njia mbadala ya kujiwezesha kupitia vikundi vyao ”IWEJE SISI VIJANA!!!!!”,ni wakati sasa wa ‘KUAMKA NA KUBADILIKA”. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe