(image) – Serikali yetu(URT) inatambua umuhimu wa wazee kama nguvukazi katika maendeleo ya nchi na katika kuondoa umasikini,ndo maana ikaamua kuwa na “Sera ya Taifa ya wazee” na kuwa ya pili Afrika baada ya Mauritius.Sera inataka yaundwe mabaraza ya wazee toka ngazi ya kijiji Mpaka kitaifa.Wilaya ya MAGU inafaa kuigwa ktk hili maana imejitahidi kuwa na mabaraza haya kwa mjibu wa sera na wako hatua za mwisho kuunda Baraza la wazee la wilaya.Naupongeza uongozi... | (Not translated) | Edit |