Log in

/dhulusportsclub/home: English: WIkPc0Frn0zCUvDyuXPnTSKe:content

« Previous   ·   Next »
Base (English) English

                       IJUE DHULU SPORTS CLUB!!!!

 UTANGULIZI:

Dhulu ni neno lenye asili ya kibantu lenye maana ya mabadiliko.

Hivyo Dhulu Sports Club ni club inayojishughulisha na kutafuta, kuendeleza vipaji pamoja na kutoa semina za afya na dawa za kulevya kwa vijana wa Tanzania.

Michezo tunayojiusisha nayo ni mpira wa miguu,kikapu,pete,wavu, riadha pamoja na muziki.

          Club ilisajiliwa mwaka 2010 na kupewa cheti cha usajiri chenye usajiri namba nsc9649

na kutambulika kitaifa kuwa ni miongoni wa clubs za michezo Tanzania. Kwasasa Club ina ofisi zake katika mkoa wa Mwanza wilaya ya Nyamagana mtaa wa Uhuru.

  MALENGO.

Malengo makuu ya Club ni kuinua na kuviendeleza vipaji pamoja na kuzuia utumiaji wa madawa ya kulevya na maambukizi ya ukimwi kwa vijana mashuleni (msingi na sekondari) na mitaani.

 MATARAJIO.

  • Kuifanya Dhulu Sports Club kuwa club kubwa yenye uwezo wa kusimamia michezo tajwa hapo juu na pia kuwa na shule ya vipaji kwa vijana kuanzia miaka 7 na kuendelea katika mikoa mbali mbali Tanzania.
  • Kutengeneza soko la ajira kwa vijana kupitia michezo.
  • Kupunguza idadi ya utumiaji wa dawa za kulevya na maambukizi ya ukimwi kwa vijana.

 HITIMISHO.

Uongozi wa club unahitaji mchango wako kimawazo,vitendo na mengine mengi kwa manufaa ya maendeleo ya club na taifa kwa ujumla.

                                                 Ahsante.

PAMOJA TUNAWEZA

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

dhulusportsclub
February 16, 2013
IJUE DHULU SPORTS CLUB!!!! – UTANGULIZI: – Dhulu ni neno lenye asili ya kibantu lenye maana ya mabadiliko. – Hivyo Dhulu Sports Club ni club inayojishughulisha na kutafuta, kuendeleza vipaji pamoja na kutoa semina za afya na dawa za kulevya kwa vijana wa Tanzania. ...