Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/golafoundation/post/171
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
GOLAFOUNDATION imeuanza mwaka 2017 kwa kutembelea baadhi ya sehemu mkoani Arusha maeneo ya Arumeru kwa kutembea zaidi ya masaa 6 bila kupumzika na kufanikiwa kujifunza mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na kilimo cha kisasa cha APPLE kinacho fanywa na kampuni ya GREEN HOUSE mkoani humo. (image) – (image)
(Bila tafsiri)
Hariri