Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
TUNAELIMISHA NA KUHAMASISHA JAMII JUU YA KUWAJIBIKA KWAO KATIKA MALEZI YA WATOTO YATIMA NA WATOTO WALIOKO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI. KUANZISHA MICHEZO SHULENI KAMA CHACHU YA MAHUDHURIO BORA NA ELIMU BORA. KUTAMBUA WATOTO WENYE KUHITAJI MISAADA YA CHAKULA, ELIMU,VIFAA VYA KUSOMEA, ADA NA CHAKULA ILI KUWATAFUTIA UTARATIBU WA KUVIPATA.
|
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe