Base (Swahili) | English |
---|---|
Kushiriki katika kampeni mbalimbali ikiwemo: 1) Kupambana na maambukizi mapya ya HIV/AIDS. 2) Kuhamasisha utunzaji wa mazingira. 3) Kutoa elimu ya utungaji na utumiaji fasaha wa Lugha ya kiswahili. 4) Kufanya mashindano ya utungaji na usomaji wa mashairi na ngonjera pia michezo ya kuigiza. 5) kampeni za kiafya kama kifua kikuu, kipindupindu na malaria. |
Participate in various campaigns including: 1) Fight new infections of HIV / AIDS. 2) Supporting environmental protection. 3) Provide education on the composition and use clear language of Swahili. 4) To contest the composition and reading of poetry and the poem recited in alteration also plays. 5) health campaigns such as tuberculosis, cholera and malaria. |
Translation History
|