Envaya

/chacode/post/104251: Kinyarwanda: WI00057E5A75AB7000104251:content

Base (Igiswayire) Kinyarwanda

Habari;

Baadhi ya wananchi katika kata zilizopo katika wilaya ya Bagamoyo bado wanakabiliwa na changamoto ya kuwapeleka watoto wao shule kutokana na ukosefu wa rasilimali fedha,jambo hilo kwa upande wa asasi ya CHACODE ni changamoto kubwa ya kuhakikisha ya kuwa wananchi wanajengewa uwezo wa kutumia rasilimali ndogo walizonazo kujiwekea akiba ili wawapeke watoto shule,ambapo programu hiyo CHACODE imepewa kauli mbiu Pwani Elimu Kwanza.

(Not translated)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe