About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/chavitakondoa/news
: English
Base
English
Kuna changamoto kubwa katika kundi letu la Viziwi kutokutambulika hata Vijijini kutokujua hasa umuhimu wa watoto Viziwi kwenda kupata elimu ya awali,msingi na sekondari na hata Ufundi. (image) Na changamoto zingine Viziwi wanatakiwa kuwezeshwa ili wafikie malengo yao ya milenia mpya (image) Viziwi wengi tuko nyuma kimaendeleo lisha ya kuwa na elimu nzuri,fani ya ufundi bado hatujaona mafanikio ama maendeleo kutokana na Vikwazo...
There are great challenges in our group of Deaf kutokutambulika even knowing exactly Rural Deaf children need to go to pre-primary, primary and secondary and Vocational. (image) Other challenges Deaf people should be enabled to achieve their goals for the new millennium (image) Deaf majority are behind progressive feeding of a good education, arts, crafts we have yet to see progress or development due to restrictions we find in...
Edit
Jamii yetu ifahamu matumizi ya lugha ya Alama kuwe na uwiano wa mawasiliano kati yetu (viziwi na jamii nyingine). – Kutetea haki ya viziwi kwa vyombo ya usalama,mahakama na polisi ili kuwatambua jamii ya viziwi. – Kujenga ushirikiano na taasisi (asasi) mbalimbali ili kuwawezesha kulitambua kundi hili. – Kutoa mafunzo ya lugha ya Alama ili kutusaidia kutafsiri na kutupatia habari mbalimbali ili kuwa sawa na mabadiliko ya Dunia (Tabia...
Our society know the use of the language of color communication there should be a balance between us (deaf and other races). – Advocating for the rights of deaf security agencies, the judiciary and the police to identify the deaf community. – Build partnerships with institutions (institutions) to enable multi recognize this group. – Provide training in sign language to help us interpret and give different information to be...
Edit
Chavita imetoa mafunzo ya Lugha ya Alama kwa Taasisi za serikali na Wazazi wanaoishi na – Watoto Viziwi katika kata 5,ambazo ni Bereko,Kondoa mjini,Pahi,Kilimani na Chemchem – katika Wilaya ya Kondoa. – Mafunzo ya lugha ya alama kwa Taasisi za serikali wameliona kama Lugha ya Ajabu aidha – jamii bado wanaona lugha ya alama ni ngeni kwao walikuwa Hawajui kama Viziwi...
(Not translated)
Edit