1, kuboresha hali za walemavu mijini na vijijini. – 2. kuelimisha jamii dhidi ya unyanyapaa kwa walemavu. – 3, kumuwezesha kila mlemavu kupata haki zake za msingi – kama vile elimu; afya; ajira na makazi, | 1, to improve the situation of disabled people in urban and rural areas. – 2. educating the community against the stigmatization of persons with disabilities. – 3, enables each disabled person to get their basic rights – such as education, health, employment and housing, | Edit |