Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Haya twende kazi tucheze pamoja, tudumishe utamaduni wetu wa asili ili kulinda maadili, ngoma hi inaitwa ING'OMA ni ya jamii ya Wanyakyusa...shirika la ELIMISHA linaendelea kuhamasisha utamaduni huo. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe