Fungua

/afnet/post/63715: Kiswahili

AsiliKiswahili
Shirika la AFNET lili sajliwa mwaka 2002 nakupata namba ya usajili SO.11296 . Kwasasa linafanya kazi katika mkoa mzima wa Iringa Hususani Shuguli za kina mama Dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia . Tuna wakaribisha wale wote wanao Fanya shughuli zinazo husu Wanawake(Bila tafsiri)Hariri