Base (Swahili) |
English |
Mkurugenzi mtendaji wa shirika la African Heritage Foundation nchini TANZANIA ndugu Albert T.Msafiri anatoa wito kwa vijana kuunga mkono shirika hilo katika jitihada zake za kutokomeza ujinga kwa kujitolea kufundisha katika shule za kata chini ambazo zina matatizo makubwa ya walimu. Albert aliendelea kusema kuwa shule za kata ni maeneo ya vijijini hayana walimu kabisa alitolea mfano wa shule ya secondari ya Chetu iliyoko Wilaya ya Urambo mkoani Tabora ambayo inadiriki kuajiri walimu wa muda waliohitimu kidato cha nne na kupata madaraja yasiyofaa. Kwa kuonesha msisitizo mkuu huyo amejitolea kufundisha bure katika shule nne za kata zilizopo katika vijiji mbalimbali vilivyopo wilayani Urambo.
Mkurugenzi Mtendaji anachukua nafasi hii kuwatakia mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhani waislamu wote duniani. pichani ni wanafunzi wa Tallented Brothes Academy learning centre ambayo ipo chini ya African Heritage Foundation wakijadili somo la Historia katika viwanja vya kituo hicho
|
Executive director of the organization of African Heritage Foundation in TANZANIA brother Albert T. traveler calls for youth to support the agency in its efforts to eradicate illiteracy to volunteer to teach in schools that have cut down the big problems of teachers. Albert went on to say that school is a rural county does not have quite the teachers offered the example of Our School secondari ambient Urambo District in Tabora, which inadiriki time recruiting qualified teachers form four and get the wrong classes. To show the great emphasis he has volunteered to teach free in the four county schools existing in various villages located Urambo district.
CEO takes this opportunity to wish good fasting holy month of Ramadan all Muslims around the world. The students pictured are Tallented Brothes Academy learning center which is located under the African Heritage Foundation discussing the subject of History in the grounds of the center
|