About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/fawopa-mtwara/news
: English
Base
English
SHIRIKA LA FAWOPA tunatarajia kuwapatia watoto waishio katika mazingira magumu mahitaji ya msingi ya shuleni. tunakusudia kuwapatia watoto wawili baiskeli kwa ajili ya kuendea shuleni na wengine tunakusudia kuwapatia daftari, peni pamoja na sare za shule. misaada hii inatoka kwa wanachama wa FAWOPA wenyewe kwa kuchangishana na sio kwamba tunapata kutoka kwa wafadhili hapana. FAWOPA hatuna wafadhili bali tunatumia nguvu zetu pamoja na juhudi na maarifa ya...
ORGANISATION OF FAWOPA we hope to give children living in difficult circumstances the basic needs of the school. We intend to provide two bicycles for children to walk to school and others, we intend to provide a notebook, a pen with school uniforms. This assistance comes from members of FAWOPA kuchangishana own and not that we get from donors no. FAWOPA we have no sponsors but we use our strength and effort and knowledge of only one committee for the purpose of...
Edit