Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/bagode/topic/123417
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania, kijana anatakiwa kuwa na umri kati ya miaka 15 hadi 35 ambaye ni nguvu kazi katika jamii, lakini vijana wengi uonekana kuwa na hali duni ya maisha wakati wao wanao uwezo wa kufanya kila aina ya kazi na kuleta mabadiliko katika jamii.Je sababu kubwa inayomfanya kijana kuwa nyuma katika kipato ni ipi?
(Not translated)
Hindura
KAZI NA UMUHIMU WA VIJANA KATIKA JAMII
(Not translated)
Hindura