baada ya kufadhiriwa na foundation for civil society kwa miradi tuliyoiombea wanachama na viongozi wameweze kupata elimu na mafanikio makubwa katika utendaji kazi katika shirika uwezo wa kiutendaji kazi umeongezeka ushirikiano wa viongozi umekuwa wa hali ya juu na uwazi katika maswala ya matumizi ya fedha ni mzuri | after kufadhiriwa the Foundation for Civil Society for the projects we yoiombea members and leaders have been able to get educated and successful performance in an organization capable of practical work has increased the cooperation of the leaders has been of a high transparency in matters of spending money is good | Edit |