Fungua

/dewiwoco/post/25182: Kiswahili

AsiliKiswahili
shirika linajishugulisha na uendeshaji wa miradi iliyoanzishwa baada ya kupata mafunzo ya uibuaji na usimamizi wa miradi kutoka the foundation four civil socierty.miradi tuliyo ibua ni kama ifuatavyo . uchomaji wa tofari na ufugaji wa kuku, wanachama wanafulahia miradi hii kwa sababu inaonyesha mafanikio makubwa(Bila tafsiri)Hariri