Base (Swahili) | English |
---|---|
-Kuhamasisha maendeleo ya vijana na wananchi juu ya mabadiliko ya kitabia-katika Elimu rika -Kuhamasisha jamii kupambana na magonjwa ya kuambukizwa na kushauri jamii kisaikolojia(moral counselling). -Kuhimiza elimu ya ujasiliamali kwa vijana pamoja na wanawake. -Kuhimiza miradi ya kuanzisha kipato -Kuhimiza maswala ya kiroho katika jamii -Kuanzisha vituo vya watoto wadogo -nursery na awali. |
-Promote the development of youth and the public about behavioral change-in Peer Education -Encourage communities to advise transmitted diseases and psychological society (moral Counselling). -Encouraging entrepreneurial education for young people and women. -Encourage projects to establish income -Encourage spiritual issues in the community -Introduce children centers and pre-nursery. |
Translation History
|