Shirika la EBENCOV -Ebenezer Conpassion Vision lilianzishwa mwaka 2011 nakuandikishwa na taasisi za usajili Shirika lilianza kwa ajili ya kusaidia vijana na watoto walio katika mazingira magumu; hi ikiwa ni pamoja na kutoa ushauri kwa vijana kuhusiana na kupambana na madawa ya kulewa. – Shirika limeaandaa mpango mkakati wa miaka mitatu na pia kuandaa vipa umbele na uongozi wa shirika. | (Bila tafsiri) | Hariri |