Envaya

/vugaislamic: Kiswahili: WIVlRjfYCk3GyOpiIYLcWqUF:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili

                    DIRA(VISION)

                        JAMII  ILIYO ELIMIKA INAYOFUATA MALEZI BORA

               DHAMIRA(MISSION)

KUTOA ELIMU KWA JAMII YA WATANZANIA JUU YA MAMBO YA KIMAENDELEO

KUHAKIKISHA TUNAKUWA NA JAMII INAYOJITAMBUA

KUSIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO ITOKAYO KWA WAFADHIRI KWENDA KWA JAMII YA WATU WA CHINI

KUIWAKILISHA JAMII KATIKA MASWALA YAHUSUYO MAENDELEO

KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO NA KUHAKIKISHA TUNAKUZA ELIMU YA UFAHAMU WA MAMBO MAMBALI MBALI

                     MADHUMUNI

  1. KUJENGA SHULE NA VYUO ILI KUJENGA UWEZO WA VIJANA WETU KIMWILI NA KIAKILI 
  2. KUUNGANISHA NGUVU YA PAMOJA ILI KULETA MAENDELEO KWA JAMII
  3. KUWAPA HUDUMA ZA KIJAMII YATIMA NA WASIOJIWEZA
  4. KUSHIRIKI KATIKA KUKUZA UMOJA NA MAENDELEO NDANI NA NJE YA NCHI
  5. KUSHIRIKIANA NA TAASISI NYINGINE ZA KIDINI NA NG'Os MBALIMBALI NDANI NA NJE YA NCHI KATIKA KULETA MAENDELEO KWA JAMII

                                       IDARA: 

                                                                                             IDARA YA: UCHUMI              IDARA YA: FEDHA

 

 IDARA YA: MIPANGO           IDARA YA: VIJANA

 

                       IDARA YA: WANAWAKE

 

       IDARA YA: MAHUSIANO NA USTAWI WA JAMII

                                                                          

 

  •                 ORODHA YA WANACHAMA

 

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe