Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/twg/history
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
TUNAWEZA WOMEN GROUP (TWG) ni shirika lisilokuwa la kiserikali lililosajiriwa kama ‘NGO’ kisheria. Shirika hili lilianzishwa mwaka 2008 na kikundi cha akina mama 15 wote ni wakazi wa Kata ya Kipawa. Ilipofika mwezi Juni 2008 akina mama hawa waliamua kurasimisha shughuli za umoja huu na kuamua kujisajili kama NGO. Tarehe 22 Februari, 2009 umoja huu ulipata usajili chini ya sheria ya NGO ya mwaka 2002; hivyo TWG ilipata usajili kwa cheti...
(Bila tafsiri)
Hariri