Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/tsd/projects
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
TSD inamiliki na kuendesha Shule ya Msingi Buguruni Viziwi kuanzia February 1974 ambayo ni boarding na day na kwa sasa ina wanafunzi 260 chekechea hadi ufundi – Shule ina darasa la chekechea,elimu ya msingi darasa la 1-7 pia ina chuo cha ufundi stadi kilicho sajiriwa na (VETA). – TSD inamiliki ekari 53 eneo la Mlaleni,Wilaya ya Mkuranga,Mkoa wa Pwani.Shamba hili linatumika kama sehemu ya mazoezi ya Kilimo na ufugaji kwa wanafunzi viziwi ili wapate stadi za maisha...
(Bila tafsiri)
Hariri