Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
DIRA: TPC inataka kuona jamii yenye kutenda haki na yenye maendeleo endelevu. DHAMIRA: Kuwesha jamii kujua haki zao, kupambana na vikwazo vya maendeleo na kushiriki katika shughuli za maendeleo endelevu. LENGO KUU: Kufanya ushawishi na utetezi juu ya haki za binadamu,unyanyasaji wa kijinsia,ukatili dhidi ya wanawake na watoto, haki za wanawake kumiliki mali na kuelimisha jamii juu ya sheria mbalimbali. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe