Afisa Mipango na Mratibu Miradi wa shirika la Tanzania Women Social Economic Development and Human Rights Organization Bwana William Daudi amesema kwamba, shirika lake kwa sasa linatarajia kuendesha mradi wa kuongeza nguvu katika utekelezaji wa Sera ya maendeleo ya wanawake na jinsia ya mwaka 2000. akizungumza katika kikao cha Kamati kuu Mapema wiki jana, alisema kwamba shirika lake litatekeleza mradi wenye thamani ya shilingi arobaini na nne milioni na laki nane na hamsini elfu (... | (Not translated) | Hindura |