tarehe 25/04/2010 – kulitokea msakowa wafanya biashara ndogo ndogo katika manispaa ya dodoma .Hii ilikuwa imelengwa kwa watu wote ambao wanafanya biashara katika kituo cha mabasi ya usafirishaji mjini (Daladala) – Miongoni mwa waathirika katika zoezi hili walikuwepo wanachama wa kikundi chetu ambao wanafanya biashara ya samaki,nguo,viatu na mapambo ya nyumbani. – Waachama wetu wamepoteza baadhi ya mali zao ambazo zimekuwa zikiwasaidia katika kujikimu kimaisha na kuwapatia mahitaji yao... | (Bila tafsiri) | Hariri |